#KUMEKUCHA-UJENZI WA RELI DAR-MORO TUPO 80%,STESHENI YA DAR YENYE UMBO LA TANZANITE NI KIVUTIO

เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2020

ความคิดเห็น

 • Sisemi.

 • That station is very ugly no kidding

 • Lile jengo lake la pili mbona silioni lipo moja

 • Mtangazaji ana hype sana nakubali 🤣🤣 kanifikisha kwenye daraja

 • Safi sana jpm

 • thmatch.info/goon/qn2qbqu4rbtyqHs/w-d-xo.html

 • Hivi huyu mjinga asiposema magufuli oyee atafukuzwa kazi ? mtu mzima ananyonya mboo ya magufuli kila siku , sio utanzania na fahari yetu mtu kunyonya mboo ya mwanaume mwenzake

 • upuuzi mtupu , mlisema hii hadithi mwaka jana kuwa december 2019 itakuwa tayari , sasa kilichowarudisha ni nn ? corona ? mbona corona hakuna TZ , kwa ushauri wako angalia stesheni ya SGR ya Kenya ziko powa zaidi ya terminal 3 ya uwanja wa ndege wa nyerere , kuhusu treni kupita juu mbona mmesema toka 2016

 • Big up Sana President Magufuli "the true son of Mother Africa"🇹🇿🇹🇿💪💪

 • Dar na tz mpya

 • Hivi tunataka nini

 • Miaka mitano hamjafika Morogoro, Chatto mtafika miaka hamsini ijayo

  • @mbwana kivava Asante ila huo uchangu naufanya nawe so kua mpore kama unanyolewa🤣🤣🤣

  • @Rahma Oman Mke wangu anaitwa Rahma nikwambie una tia aibu jina hili , hakuna hata mmoja Changudoa kama wewe

  • Wee mwenyewe hata choo huna halafu unaongea nn sasa hebu wacha kuchekesha🤣🤣🤣🤣halafu unateseka kwer

 • Alafu yule anaetembea kama 2pack kavaa mtepeto anataka kuchelewesha na sera yake ya kumtoa magu madarakani...ashindwe na alegee

 • Asante magu sasa tunawaona makandarasi wetu vijana wadogo

 • Pongezi muhandisi swali langu chura hazuii ngombe kunywa maji maana yake Tundu Lissu wacha porojo hata kipofu anasikia je ww na macho mkubwa huoni au ukapimwe akili tuko na hosipatal ya mathare Kenya karibu ntakulipia gharama

  • Lisu naona moshi wa risasi umemuharibu macho na masikio...

 • Jpm oyeeee hii ilikuwa inachezewa kwanini tusibadilishe katiba huyu rais Wetu tumpe miaka walau 20 jmn Yale tulio Kuwa tunayasemea kwenye majukwaaa kayafanya yote .

 • 🙆🙆🙆Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wa Tanzania 🇹🇿

 • Proud of our friend TZ Kenya twawapenda

 • Uxhambaa

 • HAYA NDIO MANENO. SIO TRENI ZA KUCHOCHEA MOTO.

 • Hongera ras

 • Katiba inabana tu ila JPM anapaswa kuiongoza nchi hii angalau miaka Ishirini...kama unakubali gonga like

 • Kizazi xan

 • Duh Mungu atupe nini tena mbn miaka mitano mingine tutakuwaa mbalii Sana, ooh Lord please protect our leader president of republic of Tanzania Dr. Magufuli 🙏🏿🙏🏿🇹🇿💚💛❤️

 • sioni haja ya kupoteza pesa kufanya uchaguzi Bara magufuli anatosha sanaaaa...

 • I have observed that the most of the Tz engineers in this project are young guy and that's so encouraging, kudos tz

 • I am Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 and I have visited Tanzania a total of 6 times. I was recently in Zanzibar before Covid 19 hit East Africa and made a couple of videos. thmatch.info/goon/yGh5fam3fbWfp6k/w-d-xo.html I have also been to Serengeti, Mt Kilimanjaro, Ngorongoro Crater, Kikuletwa Hotsprings, Arusha, Magoroto Forest, Tanga, Bagamoyo. I was to visit Ruaha and Selous National Parks this June but Covid 19 happened. Cant wait to visit Tz again soonest. God bless Tanzania.🇹🇿🇹🇿🥰

 • Ben mwanantala kutoka kuwa ripota wa itv kala shavu serikalini sasa

 • rais magufuri ndy mkomboz wet katk Tanzania ya mabadiliko

 • Asante injinia mzee wa TAKRIBAN

 • Halafu Kuna mijitu ambayo haion

 • Mungu nijarie afya nije kuonja kusafiri na trein hii Aamiin

 • Kenya kazi ni wizi wa viongozi......

 • Mungu anamsaidia magufuri kukamilisha aya yote

 • Maajabu ya jpm nakwambia wajinga watapata tabu sana

 • Congrats kutoka Kenya kazi mazuri sana tuonge Africa pamoja 👏👏

 • Inapaswa kuitwa tanzanite stesheni dar es salaan

  • Haswaaaa...wala haujakosea.. Tena iitwe hivii.. The Dar es Salaam Tanzanite Train Station

 • Noma sana

 • Safi sana

 • Am 300 liker of this video

 • Jpm mwamba

 • Napenda tren yetu iizidi ya kenya, hasa kibin kichwa cha injini

  • @lee khalid5 kenya sio ya disel pia nia umeme

  • Umeshaambiwa.. Magufuli analeta treni za kisasa.. Kama umewahi kuziona ulaya ...Sasa utaziona hapa..

  • Ya kenya ni ya diesel huwez fananisha na ya tz

  • Hehehe..

 • Big up hii ndio TANZANIA Najivunia nchi yangu big up Mr.president Magufuli

 • Hongera sana JPM MUNGU Baba azidi kukupa pumzi ili uzidi kututumikia sisi WaTanzania

 • Nakukubali ndugu mtangazaji keep up the good work.

 • Huyu nae mpambe😂😂😂😂😂😂

 • CCM kiboko yao.... Duh Masha Allah.. 🇹🇿

  • @Yusra bebito ni CCM imejirekebisha, CCM inayopigania haki.. Rais amewapa nguvu wapigania haki... Rais peke yake asingeweza....

  • So ccm uyo anaeongoza mana kama ccm washapita wengi tuu

 • 2020-2025,tunaitaji mji maalumu wa kisasa Tanzania ili Tanzania iwe modern.

 • Magu n xhidaa

 • Tanzania is going to be one of best countries in Africa

  • @cinnamonstar808 well said.. there's hope in Africa we have to be realizes it... we are blessed with good Land, minerals, natural Parks, wild life, lakes, Rivers, fish, castles, birds, Herbs, vegetables, fruits, history, traditions, cultures, Book laws and commandments etc... We are blessed.... 🇹🇿

  • Safi sana kijana mzalendo.

  • *world. look around the so called " 1st world " is falling apart. even the USA dont even have the trains Tanzania is building. America dont have high speed trains. THIS IS WHY YOU THANK GOD for the things you have & the things you dont have. Countries that did not have [old tech]; have the space + land + population to build 21st century cities and be ready for the future. just think of the cost of taking down telephone poles

  • Duniani kite siyo Africa pekee... Tutazidiwa na wezi tu wa Kizungu...

 • Heeee hyo kitu mbona inameremera jamani dahhhhh..hongera tanzania

 • Mzee magu na beni nae atazamwe kwa jicho la huruma sana kwa hakika amejitahid sana kutupa taarifa za ujenzi wetu na tunashkuru anaitendea haki kazi yake,mm huvutiwa nae zaidi ndio maana hufungua channel hii

 • Ben unajua venye nilikuwa nimemiss hii new

 • Benni mbona taarifa zako ni tamu sana kama nyama ya kuku wa kienyeji.. Najisikia kushiba aise... Halafu Daaa. Ee bwana ee.. Stesheni imetulia ile mbaya.. Huwezi amini kuwa kitu kiko bongo ..Tanzania..

 • Yes ni yenyew ndy ni tanzanite hongereni kw kuyaenzi madini yetu ndio mana hata mungu katubarkia thanks #TRC kama umesikia mtu kapata bil.7.7 kule mererani gonga like hapa💪👏

 • Akuna kiongozi kama yeye mheshimiwa j.p.m katika historian ya Tanzania

 • Daaaa mungu niweke ili niipande nikienda kwetu tabora jamani

  • Mboka manyema,kituo kinacho fata

  • Hakika sheikha hapa ni kumuomba mungu atupe uhai tujiinjoy wenyewe. Kweli mungu amlinde Magu,kwan muda wake utafika lkn haya yatakuwepo kwa muda mrefu.

 • 👊👊🇹🇿

 • Maghufuli the buldozers of developmentations ever

 • Eti bora zaidi afrika mashariki na kati , tembea Kenya, Ethiopia na Senegal 🤣🤣🤣🤣

  • @Juma Bilal🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni kweli hakuna namna, tatizo huwa ukweli unauma ndo maana watu wanapanic

  • @Josephat Jovit pia ya Senegal ni 160km/h

  • @kelvin john Hata Ethiopia hawaifikii hii yetu kwa speed, yao ni 120km/h. Afrika train yny speed ya juu kabisa ni ya Morocco 360km/h, inafuata ya Algeria, South Africa na Tanzania, 160km/h, inafuata Tunisia, Kenya, Ethiopia na Egypt, 120km/h na mwisho ni Nigeria, 100km/h.

  • Katika reli zote Africa Tanzania ndio wametandika reli nzito zaidi kuliko reli zote,mahususi wakilenga mzigo mzito,maana yake ni kwamba wanatarajia kubebanisha makasha (containers)kwa mwendo wa 120km/h na abiria 160km/h kwa utulivu wa hali ya juu kutokana na uzito wa reli hiyo. Subirini wagon zitie timu tutaelewana tu,hatuchukui mzigo wa kichina tulieni wandugu.

  • @Edward Gwaspika unaona Kama hayo majengo yanakaribiana hata kwa ubunifu ???? thmatch.info/goon/mIF1ia6wh6iKhX8/w-d-xo.html

 • Hii nchi inawasomi wazuri Sana hongera Sana Raisi wetu kuwaamini Vijana wape nafasi.

 • Lile jengo la pili mbona sioni ujenzi wake au mbka hili liishe?

  • Cyo ww 2 ambae huelew

 • I hope all countries in Africa are doing the same as tanzanian 🙏🙏🙏🌍

 • Benny wewe kiboko hongera sana kwakutujunza habari moto moto za unjezi wa reli . Saruti kwa jpm.

 • Jpm forever miaka 30

 • Halafu eti membe aoni aya na vibaraka uchwara wenzako wenye tamaa ya madaraka

  • Sijui membe ndo limnyama gani doo🤣🤣🤣🤣💪💪Jpm ndo baba laooo wee

  • Membe Msenge tu

  • Haaahaahaa🤣🤣

 • Natamani watanzania wote tungejitambulisha majina yetu hivyo unataja jina lako halafu unamalizia na neno mzalendo kama ben alivyofanya hapo mwanzo

 • Nashukuru kwa kulifanyia kazi ombi letu la kutoonyesha stesheni vizuri

 • Hongera sana, ila kiukweli ni uongo mtupu kusema mradi umefikia asilimia 80 kwani magape ni mengi mnoo, kifupi mradi mwaka huu hauwezi isha labda mwakani mwezi wa 6

  • Asilimia 80 means sehemu ngumu zimeisha kumebaki kuunganisha..we fundi Michael tushaambiwa asilimia 80 shida iko wapi

  • @Rajab Mnyimwa nimekusoma kaka

  • @farid amin hapana mimi ni architecture, sio kwamba napinga au naponda ujenzi, hapana napongeza tena naupenda sana huo ujenzi wa reli, ila tuweke siasa pembeni mradi kukamilika mwaka huu ni ndoto ila ukiniambia katikati ya mwaka 2021 hapo ndio kweli kabisa kwani kuna vipande vingi sana bado kukamilishwa.

  • Wewe ni mhandisi rajab?

  • @Justine Cleophas Kuna maeneo mengi sana hasa hapa dar lile daraja tu bado sana hasa maeneo ya mapishano kuanzia kamata had bakhersa kule n kitendawili kuna kazi kubwa sana .. baada aya hapo kuanzia pale kuelekea had pugu kazi bado mno mf. Pale njia ya mapishano Vingunguti nadhan n majumba sita pale haieleweki gari zitapita chini au tren itapita juu maana hakuna kinachoendelea yan kwa ufupi sie wa dar tunaona dhahiri kazi bado sana

 • Ben mwana ntara unajua kubrand kaka hongera mzarendo

 • swali. phase ya kwanza Km 300 imechukua miaka 5 ,vp kilometer 1000,si itakuwa miaka 30? hao jamaa sipidi ndogo sana

  • @FRED MUSHENDWA well said bro

  • Usisahau ni miaka mitatu na mvua imewasumbua kwa muda mrefu sana,mvua ilikuwa nyingi imewaharibia malengo yao.sasa kumekauka watakimbia sana.Hiyo sio kazi ndogo jamani mnakimbia wapi au mnataka walipue,speed yao ni nzuri sana.

  • @AMASHA KIGELULYE exactly

  • Kazi ilianza 2017 na mwezi wa sita miaka 3 siyo 5

  • Jamaa yetu umetudanganya aisee

 • Mbona mwanzoni ilionyeshwa kutakuwa na majengo mawili Dsm??

  • h

  • Moja ni la utawala nadhani watajenga baadae wamewekeza zaidi kwa jengi la abiria ambalo ni muhim zaid kwa sasa.

 • Halafu utasikia MSIGWA anagombea urais😆😆😆😆

  • Sio huyo tu yaani wote nawashangaa🤣🤣

  • 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wa nyumbani kwake labda

 • Ndio maana namwita mzee baba mjomba magu hajawahi kushindwa

 • Mimi nilikua na ushauri kidogo sijui kama mtaupokea au la.hiyo train baadae iwe ya kwenda airport ibaki juu ya gorofa.halafu zingine zijazo za umeme zibaķi chini ili kuwe na tofauti kati train hizo mbili ile barabara ya magari igeuzwe na kuwekwa flyover upande mwingine na sio hapo ilipo kwa sasa barabara inazingua kupita karibu na train ni hatari.@benmwanantala

  • Hata mimi sijamuelewa... Yeye hajui daraja limewekwa kwa ajili ya masafa marefu ili kuepusha msongamano... Na treni za mjini ni za mjini tu... Halafu ukisema ujenge flyover zinakaeje...kwa sababu kuna hizi zinazotokea Kariakoo... Nazo zitapitaje.. Ina maana lazima pawepo na interchange.. Sasa hiyo interchange inajengwaje... Eneo lenyewe ni dogo..

  • Km mm sijakuelewa hv

 • Whoever designed this station with other cowshed like stations is not creative at all!! He should have learnt from our neighbor Kenya SGR stations. This Dar station can not even match any of Kenyan stations, am disappointed.

  • Chinese are wiping your matako in everything, eti ya Kenya...we are running our own race not Kenyans

  • Go and take a covid-19 dosage...nani amekwambia tunataka ifanane na Kenya..kapimqe kichwa

  • @AA AA kwani we jamaa ukisema hongera ndgu zetu waTZ kwa kufanikisha hvyo utakufa? Alokwambia hii ni compitition nani? Kuhusu design ya vituo ni kwamba TZ wamedesign vituo vya kutokana na mali asili zinazotoka Tz eg hyo ya dar ni mfano wa Tanzanite while designs za kenya ni za kichina. Wivu hausaidii toa hongera pita zako

  • @king of CCL 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mzee baba ninafunga mjadala coz umemaliza Kila kitu hapo, anaebisa ajikune

  • @king of CCL for sure ukabila wao waweke mbali kabisa na watz,

 • USHAURI: Station ya #DODOMA iwe kubwa good Na model zaid na MORE attractive ili ije kuleta maana halisi ya CAPITAL CITY.... na kama tayari umechorwa mchoro simple ni Bora tu ku-cancel na kumshauri Rais Mpole na msikivu JPM kuweka kitu cha maana pale DODOMA iweke Heshima maana tunakwenda kupanda GSR kwa pesa zetu za kodi na mapato ya ndani 80% na kuonyesha other African countries na all world kuwa tunaweza na tutaenda kufanya makubwa zaidi ya haya chini ya Jemedari JPM #Viva🇹🇿...... Please Fikirieni huu ushauri asaivi kuliko kuwa na mji mzuri huko mbele Station ikawa mbaya.....Tukajutia.... Miji hupambwa kwa Majengo Mazuri......wacha tu tutumie pesa Zetu....... #DODOMA_CAPITAL_CITY_TANZANIA..... na ule mji Mdogo wa Serekali pale kati just uitwe tu "JPM-CITY"...... viva TRC #WeCAN🇹🇿✔

  • akili nyingi inatakiwa ishushwe stand ya maan maan naon wanajenga hata dar nusu nusu station ya dar yako majengo mawil kwenye raman lkn wamejenga 1 alafu hilo daraja ni limoja sas itakuaje ubize ule wakupita mizigo na kupita tren za abiria ni lazima wajenga madaraj mawil au matatu au watasubirian itakua sio ya harak sas tren zitasubirian km zile folen za zaman za dar na uko mbele miaka ya baadae sindio patakua bize yataitajika hapo dar mpaka bandarin madaraj yawe hata ma nne au matano wajiongeze waache kubanian bajet baadae waje kusumbua watu bomoa bomoa ...hata pale daraja jipya la ubungo wamebania bajet ule mchoro sio wa mwanzo fuatilia baadae itakuja kua kero kubomoa tena mchoro wa mwanzo ulikua noma ungeka miak mia5 lkn huu miaka 50 patarud foleni pale akati angekua mzungu awaz anadondosha kitu cha maan mpk wajukuu na vitukuu wakija kukuta wanakubal... waache kuban matumiz waangalie hata majiram station zao noma dodoma wasituangushe jamani

  • @Mfaume Ally Sasa Mtoto mzuri wa Kiislamu mwenye jina tamu ... Sasa hayo matusi na hasira za nini ndugu yangu au wewe ni Mkenya ???! Hii ni nchi yetu sote hivyo Kila anaweza kutoa maoni yake... Sasa mama yako ametukanwa na ni kosa lako.. Pole sana... 🇹🇿 TupoPamoja...

  • @Mfaume Ally na wewe Nani???!

  • Kweli K ... Station la nguvu ....🇹🇿

  • @Mfaume Ally mimi ni baba yako wa kambo hapa nilipo nipo ndani kwenu na firana na mama yako anakatika kinoma nakuomba usiludi nyumbani saivi sipendi unifumanie kisha ufe kwa presha nakupenda mwanangu wa kambo

 • Safi sana.

 • Ben... When is the opening of the SGR? Trial test?

  • Tomorrow morning

  • September

  • I think it may be within this year 2020.

  • Is a journalist is not a sgr correspondence

 • Tumieni drone ili mpate shots nzuri

  • 😂😂😂😂

  • Kwani Happ wanatumia Nini duh

  • Kaka kwani hapo wametumia nn jamani😂😂😂😂

 • Kazi kazi

 • Unbelivable for sure

 • Hongera

 • Nafurahi maendeleo ya serekali ya awamu ya tano

 • Jaman hauishi tu

  • Utaisha tu mambo taratibu😊

 • Ben bado tunahitaji kujua namna ya kupanda hiyo train kutokea kwny station..Maana naona jengo lote lishakuwa covered na vioo..Abiria watatokaje flow ya pili kuelekea kwenye train??

  • @Nguzzo Rajab tunnel au airbridge kama airport? Mimi pia sielewi how passengers can boarding the trains

  • h

  • @KS Mbona umenipa link ya Moro to Makutupora..

  • thmatch.info/goon/zJBnq9XZmrpxiXc/w-d-xo.html Angalia hii utaona gap ya main door kwenye kipande cha DARAJA ambacho hakikaunganishea usawa wa jengo....

  • IPO SEHEMU HAIJAKUWA COVERED Angalia usawa wa jengo na DARAJA sawa na jengo palipokuwa wazi ndio main door alafu pia ujenzi wa vioo vya kufunga wanaweza kufungua popote wakafanya main door

 • Magufuli juu

 • Kongole mh rais

 • Dah Magufuli noma kwel chuma

 • Ben tupe zawadi first commenters

  • Watching from kenya .. big up tz n magu nawe ben na TRC

  • Ahaaahaaaa aya pamoja sana..

 • Magufuli nguvu moja, mungu akupenguvu na moyo wa kuendelea kuifanyia nchi yetu maendeleo

 • Hongeren

 • Magufuli nguvu moja, mungu akupenguvu na moyo wa kuendelea kuifanyia nchi yetu maendeleo