เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2020
#Afrinema #SwahiliMovies #BongoMovies CAST: King Majuto, Kingwendu, Ringo, Tinny White, Senga, Pembe, Kiwewe
STORY: MT Production
EDITOR: Feisal Kaure
PRODUCER: MT Productions
DIRECTOR: Juma Selemani/Hussein
Subscribe to Afrinema: bit.ly/2E770Gk
"afrinema" "bongo movie" "tanzania movies" "Swahili" "Swahili movies" "steven Kanumba" "bongo" "full Movie" "african movie" "tanzania" "bongo comedy" "vichekesho" "madebe" "madebe liadai"
Zambia, zambian music, South Africa, Music of Zambia: Music of South African Region:
zambia Gospel Music: Zambia latest music: zambia new music: zambia songs
ความคิดเห็น
Allah huma ghafirr lahu warhahu waaskin filjannah
Safi sana
nice
Napenda filamu za King. Lakini shida ni video editor wake ni hovyo kabisa, anajiwekeya instrumental kila sehemu hata sehemu za watu wakiongea anajiwekea tuuu instrumental. Tunataka kusikia watu wakiongea sio kuona picha tu. Kama ningekua na uwezo ningekufuta kazi ww video editor bure kabisa. Instrumental moja filamu nzima kama ambae una angalia matangazo ya bidhaa flani
Rip... Pengo lako halitazibika asilan.. From kenya
Allah akusamehe mzee wetu .
😭😭😭
R.i.p mzee majuto ama hakika umeacha pengo kubwa sana ktk sanaa yetu daa! Tunakukumbuka kwa mengi sana na tutaendelea kukumbuka kwa mengi mungu akulaze mahal pema pepon Amina
huyu mzee namkubali akicheka...kam umenuna utacheka 2
Mungu amlaze mahalipema peponi 🙏🙏🙏🙏
Watanzania tunafeli sana kweny filamu zetu ninzuri sana ila mdundo unazidi maongez ningependekez mdundo usiwepo au wepo wakati unamia sehemu nyingine
Mola akulaze mahali pema mzee wetu wakutuchangamsha
RIP mzee majuto mbele yako nyuma yetu movie nzuri sana wadau wote asanteni sana nina enjoy nikiwa qatar
Wapi like za mzee Majuto jaman sanaa yako hatutaisahau RIP King so sad😭😭😭
Kama unakubali jamaa walikutana wote ni wakali weka like twende sawa
jamn nimemic san majuto mung amuweke mahal pem pepon
Maisha..ni mungu 2
Pumzika kwa amani
Yarab MLAZE pepon mzee wetu yy nakila alofka mbele ya hak amina
Allah akufanyie wepesi Mzee.wetuu.
Hatokei Fundi kama huyu mzee
R. I. P mzee majuto na sharo milionea
rip mzee wetu tumekumisi sanaa
Mungu ailaze roho yke mahal pema peponi, king majuto
Amina
Rip#king😭
Am watching now
Ndugu yangu naomba support yako kutazama video yangu ya pineapple kwa kugusa picha yangu hapo juu naomba pia u subscribe Ahsanteni sana🙏
nitumie clip fb ya youtube
Iko vizuri sana